Lesson 5. Shuleni

 0    189 Datenblatt    arudkowska
Drucken spielen überprüfen
 
Frage - Antworten -
after studies, lesson, classes
Lernen beginnen
baada ya masomo
Of course! ("Without doubt!")
Lernen beginnen
Bila shaka!
How was the break?
Lernen beginnen
Habari za likizo?
if you like
Lernen beginnen
kama unapenda
to finish studies
Lernen beginnen
kumaliza masomo
printing paper
Lernen beginnen
karatasi ya kuchapishia
for break, for vacation
Lernen beginnen
kwa likizo
(during the) time of break
Lernen beginnen
wakati wa likizo
why?
Lernen beginnen
kwa nini?
because
Lernen beginnen
kwa sababu
maybe, perhaps
Lernen beginnen
labda
language studies
Lernen beginnen
masomo ya lugha
secondary school
Lernen beginnen
shule ya sekondari
We would like to buy...
Lernen beginnen
Tungependa kununua...
school items, school supplies
Lernen beginnen
vifaa vya shule
Where did you go?
Lernen beginnen
Ulienda wapi?
What did you do?
Lernen beginnen
Ulifanya nini?
to see parents
Lernen beginnen
kuwaona wazazi
for (the purpose of)
Lernen beginnen
kwa ajili ya
biology
Lernen beginnen
bayolojia
doctor, doctors
Lernen beginnen
daktari, madaktari
classroom, classrooms
Lernen beginnen
darasa, madarasa
physics
Lernen beginnen
fizikia
foreign
Lernen beginnen
-geni
hard, difficult
Lernen beginnen
-gumu
mathematics (2)
Lernen beginnen
hesabu / hesabati
history
Lernen beginnen
historia
geography
Lernen beginnen
jiografia
pen, pens
Lernen beginnen
kalamu
if, when
Lernen beginnen
kama
chemistry
Lernen beginnen
kemia
item, items, sypply, supplies
Lernen beginnen
kifaa, vifaa
to write
Lernen beginnen
kuandika
to take a test (2)
Lernen beginnen
kufanya jaribio / kufanya mtihani
to need
Lernen beginnen
kuhitaji
to remember
Lernen beginnen
kukumbuka
to finish
Lernen beginnen
kumaliza
to buy
Lernen beginnen
kununua
to rest, to relax
Lernen beginnen
kupumzika
break, breaks, vacation, vacations, leave, leaves
Lernen beginnen
likizo
language, languages
Lernen beginnen
lugha
exam, exams, test, tests
Lernen beginnen
mtihani, mitihani
pencil, pencils
Lernen beginnen
penseli
color, colors, paint, paints
Lernen beginnen
rangi
economics
Lernen beginnen
uchumi
time, times
Lernen beginnen
wakati, nyakati
more
Lernen beginnen
zaidi
I'm a student at the university.
Lernen beginnen
Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu
I'll graduate this year. (2)
Lernen beginnen
Nitamaliza masomo / Nitahitimu mwaka huu
My sister is in primary/elementary school
Lernen beginnen
Dada yangu yuko shule ya msingi.
The secondary school final exam is difficult.
Lernen beginnen
Mtihani wa kumaliza masomo ya shule ya sekondari ni mgumu.
What's your favourite subject?
Lernen beginnen
Unapenda somo gani zaidi?
Language studies are important.
Lernen beginnen
Masomo ya lugha ni muhimu.
I need a new computer.
Lernen beginnen
Ninahitaji kompyuta mpya
Which exam are you taking?
Lernen beginnen
Unafanya mtihani gani?
I have to study for my exam.
Lernen beginnen
Lazima nisome kwa ajili ya mtihani.
I rested during the break.
Lernen beginnen
Nilipumzika wakati wa likizo.
I passed my exam!
Lernen beginnen
Nimefaulu mtihani!
I studied Swahili.
Lernen beginnen
Mimi nilisoma Kiswahili.
I will study Swahili.
Lernen beginnen
Mimi nitasoma Kiswahili.
I spoke Swahili.
Lernen beginnen
Mimi nilisema Kiswahili.
I will speak Swahili.
Lernen beginnen
Mimi nitasema Kiswahili.
I came from U.S.
Lernen beginnen
Mimi nilitoka Marekani.
I will come from U.S.
Lernen beginnen
Mimi nitatoka Marekani.
The radio broke down.
Lernen beginnen
Redio iliharibika.
The book got lost.
Lernen beginnen
Kitabu kilipotea.
The books were sold.
Lernen beginnen
Vitabu viliuzwa.
The airplane flew.
Lernen beginnen
Ndege iliruka.
The airplanes flew.
Lernen beginnen
Ndege ziliruka.
The bird flew.
Lernen beginnen
Ndege aliruka.
The birds flew.
Lernen beginnen
Ndege waliruka.
I was a student.
Lernen beginnen
Mimi nilikuwa mwanafunzi.
The food was good.
Lernen beginnen
Chakula kilikuwa kizuri.
The house wasn't small.
Lernen beginnen
Nyumba haikuwa ndogo.
(I) had money.
Lernen beginnen
Nilikuwa na pesa.
The room had one bed.
Lernen beginnen
Chumba kilikuwa na kitanda kimoja.
The city had many people.
Lernen beginnen
Mji ulikuwa na watu wengi.
I didn't study Swahili.
Lernen beginnen
Mimi sikusoma Kiswahili.
You studied Swahili.
Lernen beginnen
Wewe ulisoma Kiswahili.
You didn't study Kiswahili.
Lernen beginnen
Wewe hukusoma Kiswahili.
He/She studied Swahili.
Lernen beginnen
Yeye alisoma Kiswahili.
He/She didn't study Swahili.
Lernen beginnen
Yeye hakusoma Kiswahili.
We studied Swahili.
Lernen beginnen
Sisi tulisoma Kiswahili.
We didn't study Swahili.
Lernen beginnen
Sisi hatukusoma Kiswahili.
Wy studiowaliście suahili.
Lernen beginnen
Nyinyi mlisoma Kiswahili.
Wy nie studiowaliście suahili.
Lernen beginnen
Nyinyi hamkusoma Kiswahili.
They studied Swahili.
Lernen beginnen
Wao walisoma Kiswahili.
Oni nie studiowali suahili.
Lernen beginnen
Wao hawakusoma Kiswahili.
I was not a student.
Lernen beginnen
Mimi sikuwa mwanafunzi.
The food wasn't good.
Lernen beginnen
Chakula hakikuwa kizuri.
The house wasn't small.
Lernen beginnen
Nyumba haikuwa ndogo.
(I) didn't have (any) money.
Lernen beginnen
Sikuwa na pesa.
The room had no bed.
Lernen beginnen
Chumba hakikuwa na kitanda.
The city didn't have many people.
Lernen beginnen
Mji haukuwa na watu wengi.
my pen, my pens
Lernen beginnen
kalamu yangu, kalamu zangu
your house, your houses
Lernen beginnen
nyumba yako, nyumba zako
this dream
Lernen beginnen
ndoto hii
My car (m) broke down
Lernen beginnen
Motokaa yangu iliharibika.
My cars (m) broke down.
Lernen beginnen
Motokaa zangu ziliharibika.
Their school was closed.
Lernen beginnen
Shule yao ilifungwa.
Their schools were closed.
Lernen beginnen
Shule zao zilifungwa.
jego komputer nie zepsuł się
Lernen beginnen
Kompyuta yake haikuharibika
jego komputery nie zepsuły się.
Lernen beginnen
Kompyuta zake hazikuharibika.
a tall child
Lernen beginnen
mtoto mrefu
tall children
Lernen beginnen
watoto warefu
a long knife
Lernen beginnen
kisu kirefu
long knives
Lernen beginnen
visu virefu
a big dog
Lernen beginnen
mbwa mkubwa
big dogs
Lernen beginnen
mbwa wakubwa
his beautiful sister
Lernen beginnen
dada yake mzuri
his beautiful sisters
Lernen beginnen
dada zake wazuri
a small pen, small pens
Lernen beginnen
kalamu ndogo
a beautiful house, beautiful houses
Lernen beginnen
nyumba nzuri
hard work
Lernen beginnen
kazi ngumu
bad coffee
Lernen beginnen
kahawa mbaya
a new table, new tables
Lernen beginnen
meza mpya
many trips
Lernen beginnen
safari nyingi
white chalk
Lernen beginnen
chaki nyeupe
all the sugar
Lernen beginnen
sukari yote
white sugar
Lernen beginnen
sukari nyeupe
good rain
Lernen beginnen
mvua njema
a big school, big schools
Lernen beginnen
shule kubwa
an old radio, old radios
Lernen beginnen
redio kongwe
a dirty storeroom, disrty storerooms
Lernen beginnen
stoo chafu
a wide road, wide roads
Lernen beginnen
njia pana
three computers
Lernen beginnen
kompyuta tatu
a long banana, long bananas
Lernen beginnen
ndizi ndefu
two languages
Lernen beginnen
lugha mbili
a big elephant, big elephants
Lernen beginnen
tembo mkubwa, tembo wakubwa
two friends
Lernen beginnen
rafiki wawili
22 people
Lernen beginnen
watu ishirini na wawili
35 chairs
Lernen beginnen
viti thelathini na vitano
101
Lernen beginnen
mia na moja
125
Lernen beginnen
mia na ishirini na tano
200
Lernen beginnen
mia mbili
230
Lernen beginnen
mia mbili na thelathini
300
Lernen beginnen
mia tatu
472
Lernen beginnen
mia nne, sabini na mbili
587
Lernen beginnen
mia tano, themanini na saba
1000
Lernen beginnen
elfu
a small pen, small pens
Lernen beginnen
kalamu ndogo
twoje domy
Lernen beginnen
nyumba zako
these dreams
Lernen beginnen
ndoto hizi
duże słonie
Lernen beginnen
tembo wakubwa
21
Lernen beginnen
ishirini na moja
22
Lernen beginnen
ishirini na mbili
35
Lernen beginnen
thelathini na tano
37
Lernen beginnen
thelathini na saba
49
Lernen beginnen
arobaini na tisa
99
Lernen beginnen
tisini na tisa
your houses
Lernen beginnen
nyumba zako
Where did you go for break?
Lernen beginnen
Ulienda wapi kwa likizo?
(I) went home to visit my parents.
Lernen beginnen
Nilienda nyumbani kuwatembelea wazazi wangu
Gdzie mieszkają twoi rodzice?
Lernen beginnen
Wazazi wako wanaishi wapi?
A ty co robiłeś during the break.
Lernen beginnen
Na wewe ulifanya nini wakati wa likizo?
I rested and studied ("did exam practice")
Lernen beginnen
Nilipumzika na nilifanya mazoezi ya mtihani
Because (I) want to take my exams.
Lernen beginnen
Kwa sababu ninataka kufanya mtihani
Which exams will you take?
Lernen beginnen
Unafanya mtihani gani?
Exams for completing secondary school.
Lernen beginnen
Mtihani wa kumaliza masomo ya shule ya sekondari
Which subjects are you taking exams for?
Lernen beginnen
Unafanya mtihani wa masomo gani?
zdaję egzamin z bilogii, fizyki, chemii i matematyki.
Lernen beginnen
Ninafanya mtihani wa bayolojia, fizikia, kemia na hesabu
Why are you studying (robisz) these subjects?
Lernen beginnen
Kwa nini unafanya masomo haya?
bo chcę być lekarzem.
Lernen beginnen
Kwa sababu ninataka kuwa daktari
But these subjects are difficult
Lernen beginnen
Lakini masomo haya ni magumu
but (I) like these subjects.
Lernen beginnen
lakini ninayapenda masomo haya
What subjects do you like?
Lernen beginnen
Wewe unapenda masomo gani?
I like history, geography, economics, and foreign languages.
Lernen beginnen
Mimi ninapenda historia, jiografia, uchumi na lugha za kigeni.
Jakie lubisz języki?
Lernen beginnen
Unapenda lugha gani?
Lubię angielski, hiszpański i włoski.
Lernen beginnen
Ninapenda Kiingereza, Kihispania na Kitaliano.
But (subjects of) languages are diffcult!
Lernen beginnen
Lakini masomo ya lugha ni magumu.
Nie, nie są trudne (masomo), jeśli je lubisz.
Lernen beginnen
Hapana, si magumu kama unayapenda.
We'd like to buy (some) school supplies.
Lernen beginnen
Tungependa kununua vifaa vya shule
jakie chcesz rzeczy?
Lernen beginnen
Wewe unataka vitu gani?
I need books, notebooks, pens, colored pencils, writing pads, ans a school bag.
Lernen beginnen
Mimi nahitaji vitabu madaftari, kalamu, penseli za rangi, karatasi za kuandikia na mkoba wa shule.
(You) can buy these things here.
Lernen beginnen
Unaweza kununua vitu hivi hapa.
What else do you need?
Lernen beginnen
Unahitaji nini zaidi?
(I) need a school uniform and shoes.
Lernen beginnen
Ninahitaji sare za shule na viatu pia.
and printing paper
Lernen beginnen
na karatasi za kuchapishia
w jakiej szkole jesteś uczniem
Lernen beginnen
Wewe ni mwanafunzi wa shule gani
ja uczę się w szkole średniej.
Lernen beginnen
Mimi ninasoma shule ya sekondari.
Did you finish elementary school?
Lernen beginnen
Ulimaliza shule ya msingi.
What will you like to do when you finish school?
Lernen beginnen
Utapenda kufanya nini baada ya masomo
Chciałbym zostać nauczycielem angielskiego.
Lernen beginnen
Nitapenda kuwa mwalimu wa Kiingereza.
Do you like teaching?
Lernen beginnen
Unapenda kufundisha.
So you'll be a good teacher.
Lernen beginnen
Basi utakuwa mwalimu mzuri.
do zobaczenia
Lernen beginnen
Tutaonana
z (from)
Lernen beginnen
kutoka
in / w
Lernen beginnen
katika
na (on)
Lernen beginnen
kwenye

Sie müssen eingeloggt sein, um einen Kommentar zu schreiben.